Oga. Watu hawaogi ndiyo maana wachafu. Kuoga ni lazima kutumia maji. Ukitaka kuoga neno, tumia maji; na ukitaka kuoga maji, tumia neno; kuwa msafi. Huwezi kuyakimbia maji maana usipooga utanawa, na usiponawa utayanywa tu. Maji ni neno na neno ni uhai wa maji.