FastSaying
Employing relatives changes power dynamics.
Enock Maregesi
power
power-dynamics
relatives
Related Quotes
Ukiajiri ndugu usimwonee aibu! Namna hiyo ajira yake haitaathiri nguvu ya mamlaka yako.
— Enock Maregesi
aibu
ajira
employment
Tumaini ni injini ya imani.
— Enock Maregesi
belief
believe
engine
Sababu ya kupanda na kuanguka kwa mataifa ni ya kimaadili na kiroho. Hakuna taifa linaloweza kutegemea nguvu na mali zake ili kujiokoa kutokana na madhara ya ukiukwaji wa maadili.
— Enock Maregesi
maadili
mali
mataifa
Ijapokuwa maombi ya sifa yana nguvu kuliko maombi ya kushukuru, kushukuru kuna nguvu kuliko kuomba.
— Enock Maregesi
appreciations
kuomba
kushukuru
Tumaini lina nguvu kuliko woga… Usisimame. Endelea kutembea.
— Enock Maregesi
don-t-give-up
fear
hope